Siri 10 za Kukusaidia Uishi kwa Afya

 


1. Kula chakula, acha kula bidhaa.


2. Acha kula sukari ya mezani.


3. Acha kunywa soda na energy drinks.


4. Achana na ngano, gluten inakuharibu.


5. Punguza idadi ya milo.


6. Ukila chakula usiku, 

mlo wa kwanza kesho uje baada ya saa 14.


7. Jitahidi kula zaidi matunda, mboga za majani, protini na wanga nzuri kidogo.


8. Jifunze kutofautisha tamaa, njaa, na kiu.


9. Ukila hakikisha hushibi mpaka mwisho.


10. Funga mara kwa mara.

0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE