Madhara ya punyeto kwa wanawake na jinsi ya kuacha

 Michezo Ya Kujichua Kwa Wanawake, Hupelekea Madhara Kisaikolojia, Uke Kutepeta Na Kukosa Kabisa Hisia Za Tendo. Hizi hapa Mbinu Zakuacha Punyeto..



》Usipende kukaa pekeyako toka jichanganye na watu kupiga story na kubadilishana mawazo.


》Usitumie muda mwingi bafuni, Oga haraka kisha toka bafuni kwa wakati.


》Usipende kujiendekeze na uvivu,  kulala muda mwingi haswa wakati wa asubuhi, na mchana.


》Jiwekee ratiba nzuri ya kufanya mazoezi ya mwili itakusaidia kukujenge kifikra.


》Acha kutazama video chafu za ngono, left magonjwa yote,  Block wanao support ujinga uo, Anza maisha mapya.


》Epuka kuchat au  uongea muda mrefu na mpenzi wako wakati wa usiku. Yaani kunyegeshana  wakati mpo mbali mbali.


》Tupa weka mbali au choma kabsa vifaa unavyo tumia kujichua navyo.  Kama wewe ni mtumiaji wa vibrators au dildo wacha mara moja.


》Epuka kuweka mikono yako sehemu za siri, Ukiosha au wakati wa kuchamba inatosha, Usipende kushika shika nyuchi.


》Jiamini usiogope kuomba ushauri, Mshirikishe unayemuamini akusaidie kuepukana na hili janga.


》Muombe sana mungu akusaidie ukiri dhambi na kuachana nayo kabisa. Weka ahadi mpaka kufa.


NB: Mbinu hizi pia zinafanya kazi kwa wanaume tofauti ni maumbile, but mfumo wa saikolojia ni ule ule.


Kama umesha yapitia maisha hayo na unatamani kuacha kabisa au Umeacha na unahitaji msaada wakujinasua kwenye madhara hayo. 


0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE