Fahamu umuhimu wa juisi ya limao

 Kuna baadhi ya uvumi kwamba ukila limao unasababisha kukausha au kupunguza Damu,


 Hili si Kweli na nimekuletea leo Faida za Juice ya ndimu au limao


》 Chanzo cha Vitamin C!


Hiki ni chanzo kikubwa Cha Ascorbic acid ambayo husaidia katika kuboresha Afya ya ngozi na kuwezesha mwili kupamban na magonjwa!


》 Antioxidant (Viua Silumu)! 


Viua sumu hivi husaidia katika kuboresha na kuimarisha kinga ya mwili kwa ujumla ikiwemo Afya ya Moyo , n.k


》 Kupunguza Sukari! 


Husaidia sana katika udhibiti wa sukari mwilini kutokana na mafanikio ya baadhi ya Tafiti Zilizowahi Kufanyika!


》Kupunguza Kichefuchefu!


Harufu na ladha ya limao zinaweza kupunguza hisia za kichefuchefu, na hivyo kusaidia wakati wa matatizo ya tumbo.


》Kuboresha Uzalishaji wa Collagen!


Vitamini C inayopatikana katika limao ni muhimu kwa uzalishaji wa collagen, ambayo ni muhimu kwa afya ya ngozi na tishu.


》Kupunguza Uzito wa Mwili!


Limao inaweza kusaidia katika mchakato wa kupunguza uzito kwa kutoa hisia ya ukamavu na kuchangia katika kuvunjika kwa mafuta.


》Kusaidia katika Ukuaji wa Mifupa


Limao inachangia kwenye afya ya mifupa kutokana na uwepo wa vitamini C na madini kama Calcium n Phosphorus.


Kuwa Natural na Tumia Zaidi vitu vya asili kama vyakula na Kunywa Maji mengi, Lala Angalau masaa 6-8 usiku Na Pata Mua wa Kupumzika. Punguza au Acha Kabisa Matumizi ya Pombe Kabisa!


N.B; share Kwa Ajili ya Wengine na Usiache Kunifollow 


0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE