Zuchu afunguka hali yake ya kifya ni majanga kwasasa

 Staa wa muziki kutoka Lebo ya WCB,Zuchu ameweka wazi kuwa kwa sasa anapitia changamto ya kiafya kwa kupata maradhi.



Zuchu ametoa taarifa hiyo katika ukurasa wake wa mitandao wa kijamii wa Instagram, ila hajabainisha nini hasa kinamsumbua.



0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE