VIDEO : Titto atoa ya moyoni kuhusu video iliyosambaa ikionesha analalamika Chid Benzi kampiga changa .

 


Hatimae msanii wa bongo movie Titto atoa ya moyoni kuhusu video iliyosambaa ikionesha analalamika Chid Benzi kampiga changa .


Amemuomba msamaha Chid Benz amesema ulikuwa utani wa maskani .


Mwisho wamemaliza kwa kusema hawataki msaada wa mtu.


Wanasema ni Masihara. Ila pale kuna kitu .


Inaonekana mwana hali si shwari. 


Vijana tuache Uraibu

0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE