Simba Queens dimbani Ligi Kuu

 

MIAMBA ya soka la wanawake Simba Queens itakuwa mwenyeji wa Baobab Queens katika mchezo pekee leo wa Ligi Kuu ya wanawake Tanzania Bara.


Mchezo huo utafanyika kwenye uwanja Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.


Matokeo ya michezo minne ya ligi hiyo iliyofanyika Desemba 28 ni kama ifuatavyo:


Yanga Princess             6 – 1   Amani Queens

Fountain Gate Princess 3 – 2   Ceasiaa Queens

Bunda Queens             2 – 3   Aliance Girls

Geita Gold Queens       0 – 1   JKT Queens

0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE