Romy Jons afichua yanayowatesa Vijana

 Muigizaji na Dj Romy Jons ameeleza kuwa watu wengi hasa vijana wanasumbuliwa na mawazo yaliyopitiliza hofu, na wasiwasi.



Kupitia ukurasa wake wa #Instagram #Romy amewataka watu kurudi kwa Mungu wao kwa ajili ya kufanya ibada kutokana na kuongezeka kwa hofu na wasiwasi hasa kwa vijana.


Ni kweli vijana wengi wana hofu na wasiwasi?

0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE