Naziz afiwa na mwanaye akiwa hotelini Tanzania

 Mwanamuziki maarufu kutoka nchini Kenya, Nazizi amepata pigo kubwa baada ya kufiwa na mtoto wake aitwaye Jazeel.



Kwa mujibu wa ujumbe uliochapishwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Nazizi umeeleza kuwa #Jazeel amefariki akiwa nchini Tanzania kwaajili ya mapumziko ya Christmas


Barua hiyo haijaeleza kwa undani sababu ya kifo cha mtoto huyo lakini imeeleza kuwa kuna tukio lililotokea wakiwa Hotelini ambalo limepelekea kifo Chake


Tukio hilo limetokea Desemba 25, 2023 siku ya Sikukuu ya Christmas. Tayari mtoto huyo amezikwa nchini Kenya siku ya leo.

0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE