Namna 15 za Kumtuliza Mwanamke Yeyote:



HUTAFUNDISHWA SHULENI HIZI 🧠 1. Fanya kila anachosema 2. Hata kabla hajasema wewe fanya atakavyo 3. Mpende sana, muoneshe bila yeye huwezi 4. Mpe pesa sana, asilie taab kabisa 5. Usijiendeleze wewe, wekeza kwake 6. Msomeshe, mwanamke akisoma, jamii imesoma 7. Usijishughulishe na past yake, angalia mbele. Focus 8. Mwoneshe hisia zako, usijifiche fiche 9. Hakikisha unafanya kila kitu, akupende 10. Akikuzingua, lia mbele yake, atakuonea huruma 11. Lalamika sana, usipende kumgombeza 12. Kuwa available kila muda akikuhitaji 13. Hata kama hujafanya kosa, omba msamaha 14. Yeye ndio awe kipaumbele, sio ndoto zako 15. Usikubali kumpoteza kwa gharama yoyote

0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE