Mavokali matatani kwa kutumia msemo wa 'Bado Hamjasema'

 Mchekeshaji Kago atishia kumshtaki msanii wa Bongo Fleva, Mavokali, kwa kutumia msemo wake wa ‘Bado Hamjasema’ katika wimbo wake mpya ‘HAMJASEMA’



Kago ameeleza kuwa mwanamuziki huyo ametumia msemo huo bila ridhaa yake huku akitaka watu kuheshimu misemo inayotolewa kwa sababu inakuwa na hati miliki ya mtoaji.

0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE