Man Fongo afichua siri ya ukimya wake kwenye gemu

 Msanii wa Singeli Man Fongo aeleza kilichofanya akae kimya kwa muda mrefu huku akidai ni kufichwa na management yake mpya kwa ajili ya kujipanga kwa ujio mpya katika muziki huo.



Aidha msanii amesema kwa sasa muda wowote mashabiki wake watarajie kumsikia tena.


Msanii huyo ngoma zake za mwisho kuachia ‘Hauna kila kitu’ na ‘Safi tu’ ambao ulitoka miaka miwili iliyopita.

0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE