Makonda atimiza hadi yake kwa Profesa Jay


Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul aMakonda atimiza ahadi yake, amkabidhi Profesa Jay Tsh milioni 20,  na kutoa ahaidi kumtafutia nyumba upanga  ili kuepukana na changamoto ya umbali wa kwenda hospitali.


Pia amewakumbusha waliotoa ahadi zao kuzikamilisha ili kuendelea kuiwezesha Taasisi ya Professor Jay Foundation






0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE