Jinsi ya kuandaa juisi Ya Embe Na Maziwa

 


Vipimo


Maziwa - 6 Vikombe


Sukari -  ½ Kikombe


Embe iliyochujwa nzito - 1 Kikombe  


 


Namna Ya Kutayarisha   


Changanya maziwa, sukari na urojo mzito wa embe kwenye blenda pamoja na vipande vya barafu mpaka litowe povu.

Mimina kwenye jagi tayari kunywewa.

Ukipenda unaweza kutia tone moja la essence ya rose.

Kidokezo:


Ukipenda unaweza kutumia rojo la  embe zito lilokuwa tayari kwenye makopo   (Mango Pulp)

0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE