Guchi ajizawadia gari ya Mil 191

 Zikiwa zimesalia wiki chache kuisha mwaka 2023, msanii wa muziki Guchi, mejizawadia gari aina ya Mercedes GLC300 coupe 2021 model, ambayo ina thamani ya zaidi ya naira milioni 60, ambayo sawa na 191,180,793.30 za Kitazania.



Mwimbaji mwenye miaka 25 ameshare picha za gari yake kwenye ukurasa wake wa Instagram.

0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE