Fahamu mambo Haya 5 yanakufanya dhaifu na usie na maana.

 Ndugu Mwanaaume, na msomaji zotekali blog


Haya yanakufanya dhaifu na usie na maana. Pambana kurejesha utu wako. share Ifike Mbali. 1. Soda na energy drinks Watu wanakuwnywa energy drinks badala ya maji. Boda na watu wa kazi ngumu wanaongoza kwa energy drinks. Ni hatari tupu. 2. Social media Kwenye mitandao, wewe ni mwandaa maudhui au mlaji? Unapoteza muda wako kuangalia maisha ya wengine. Anza kutengenza chako. Tumia mitandao kuuza bidhaa zako. 3. Nyeto. Nyeto ni miongoni tabia chafu sana kwa mwnaume. Nyeto inakwangua na kumaliza uanaume wako. Utaathirika kisaikolojia. Utakosa nguvu za kiume. Ukasoma kujiamini. Na mengine ya kukutweza. Acha. 4. Porn Picha uztupu zinakufanya uendelee au uanze nyeto. Utakuwa na urahibu unaosumbua akili yako. Porn makes you slave. Jipende. Anza ku-unfollow watu wa nudes and content chafu. Ukiangalia umependa. Be responsible. 5. Pombe. Pombe imeua ndoto za wengi. Sio mbaya kunywa kwa kiasi. Watu wanakunywa na kujisahau. Wanashindwa kufanya kazi. Wanashindwa kuwekeza na kufanya mambo ya msingi. Punguza na acha kabisa pombe. Wengi imewafanya masikini. 6. Junk food Chips zinakufanya dhaifu. Mikate inakufanya unaumwa. Kuku wa kisasa watakudhuru. Mabaga, na vingine vya ngano vinakufanya kuwa na mwili dhaifu. Mwili dhaifu ni rahisi kuandamwa na magonjwa. Kula kiume. 7. Betting... Hii inatetewa sana kwamba ni ajira kwa vijana. Lakini tafiti zinaonesha ina athari za kulemaza vijana na kushindwa kufanya maamuzi na uwekezaji wa muda mrefu. Anyway, kwa waliofanikiwa kutusua kupitia betting na wakaacha na kufanya mengine, hongera kwao. Kutakuwa na mengi ya kujifunza. Otherwise, vilio ni vingi vya kuwa pale pale, na wengi wanakiri kuwa inawasumbua namna ya kuacha. Ni mwisho wa mwaka sasa. Muhimu kujipanga vyema kwa 2023.

0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE