Duniani kuna aina 2 tu za watu ⁉️ Wewe ni yupi kata ya hawa?

 Aina ya kwanza: 

Yule anayepata jambo la kheri na kuanza kuwa na hofu.

.


Kila akifanikiwa anaruhusu akili yake inaanza kutafuta sababu ya kuwa na huzuni au feeling mbaya.

.

Hawa ni watu ambao wakiwa na ushindi wanaanza kuogopa itakuwaje.

.

Hawa ni wale kila jema, wanaogopa kutakua na baya linakuja. 

.

Kwa ufupi hawa, wanaogopa sana kila kitu.

.

Hawa ndio wale, kwenye kila kitu wataona kuna shida. 

.

Hawa ni mateka,

wametekwa na akili zao.

Wana limiting beliefs.


Ni vifungo vinavyowafanya washindwe 

kabisa kufurahia ushindi na kuona mabaya tu.


Nlikuwa huku years ago,

Ni kubaya sana.

Woga, hofu na giza.

Kwa hakika ni mkwamo wa kimaisha.


Aina ya pili: 


Ni wale ambao wakipata jambo baya,

Wanatafuta kila sababu ya kuwa na furaha. 

.

Naam,

.

Aisee hawa ndo wale wanakula maisha kama yule kijana wa jiwe.

.

Hawa ni wale, ukiwaudhi, wana tabasamu na kusahau.

.

Hawa ni wale hawaweki hisia kwenye mambo mabaya.

.

Hawa ni wale ukiwakosea, wanafumba macho kusonga mbele.

.

Hawa ni wale huwa wanatafuta kila sabau ya kuwa na furaha na kile wanafanya.

.

Hawa ni wale wenye shukrani kwa kila jambo.

.

Ebhana ee, nilihamia huku kitambo.

.

Niseme tu. 

Kuna great growth na satisfaction kuishi haya maisha.

Huku unaona kila jambo linaweza kuwa na funzo positive. 


Chaguo ni lako:


1. Kuchukua furaha na kuigeuza kuwa huzuni 

               AU

2. Kuchukua huzuni na kuigeuza kuwa furaha


Je, wewe ni yupi kati ya hawa?

makala hii imeandika na Jeshi Mtu mmoja, Wakuitwa Millambo_

Am out,

0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE