Basi la mwendokasi lateketea kwa moto Kibamba

 Basi la Mwendokasi limewaka moto hii leo Desemba 26, 2023, katika eneo la Kibamba Chama, jijini Dar es Salaam ambapo tayari Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limeuzima moto huo.



Taarifa za awali zimeeleza kuwa hadi sasa hakuna mtu aliyejeruhiwa kutokana na moto huo na kwamba chanzo cha basi hilo kuwaka bado hakijajulikana.

0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE