AUDIO : Alikiba ft Marioo - Sumu [Listen/Download]

 



Lyrics
Sumu ft. Marioo - Alikiba

...

Mke wa mtu tu tu tu sumu

Kwenye jambo la mtu tu tu tu kaa mbali

Mume wa mtu tu tu tu sumu

Kwenye jambo mtu tu tu tu kaa mbali

Eeeh!!

Aaaaaah! Kuna jela noma sana

Aaaaaah! Kuna jela

Sawa unakula bang kula bang ila deni langu hunilipii aah

We unakula raha nile njaa kale kadeni kangu hunilipi aah

Aaah kuna keshoo

Ujue unanivuruga daily

We si unanivurugaga sawa

Ujue unanicomfuse yelele

Acha tu nile bati sawa

Sisi sio milima tutakutana

Sisi pipo tutaonana

Sisi so visima tutasomana

Tukiwa kama pipo kitaumana umana

Mke wa mtu tu tu tu sumu

Kwenye jambo la mtu tu tu tu kaa mbali

Mume wa mtu tu tu tu sumu

Kwenye jambo mtu tu tu tu kaa mbali

Eeeeeh!

Aaaaah kuna jela noma sana

Aaaah! Kuna jelaa

Ninachojua pesa karatasi mi nachojua

Minachojua pesa karatasi

Nimaua pesa karatasi ni maua

Wale walosema hutoboi leo wapo wapii

Walosema hutoboi leo wako wapii

Wapite kulee wapite kule kule kule

Wapite kuleee

Wale walosema hutoboi leo wapo wapii

Walosema hutoboi leo wako wapii

Wapite kulee wapite kule kule kule

Wapite kuleee

Sisi sio milima tutakutana

Sisi pipo tutaonana

Sisi so visima tutasomana

Tukiwa kama pipo kitaumana umana

Mke wa mtu tu tu tu sumu

Kwenye jambo la mtu tu tu tu kaa mbali

Mume wa mtu tu tu tu sumu

Kwenye jambo mtu tu tu tu kaa mbali

Eeeeh!

Aaaah! Kuna jela noma sana

Aaaah kuna jela

0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE