Dizasta vina - Best Friend [Listen/Download]

 

Hiphop Battle imeanza kushika kasi baada ya dizasta vina kulike chapisho la babu tale akiwa amemlenga Msanii wa hiphop Rapcha, ndipo Rapcha akaingia studio na kutunga freestyle aliyoipa jina la stori nyingine amewachana watu kibao akiwemo mkali wa hiphop hapa bongo Dizasta vina, ndipo dizasta vina alipokuja na jibu hili hapa enjoy good music



0 Comments

banner

Ahsante kwa kutembelea zotekali blog ili kuwa karibu nasi kila wakati Jiunge katika kurasa zetu zamitandao ya kijamii  facebook , Twitter, Instagram na Youtube  NI BUREE